Waziri Mkuu Majalwa azindua Radio ya Jamii ya Wilaya ya Ruangwa

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la  Ruangwa akifungua kitambaa, wakati alipozindua Kituo cha Radio Jamii Wilaya ya Ruangwa zilizokarabatiwa na Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Ruangwa Mkoani Lindi. Januari 6.2024. Kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la  Ruangwa akikata utepe, wakati alipozindua Kituo cha Radio Jamii Wilaya ya Ruangwa zilizokarabatiwa na Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Ruangwa Mkoani Lindi. Januari 6.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la  Ruangwa akiangalia mitambo ya studio, baada ya kuzindua Kituo cha Radio Jamii Wilaya ya Ruangwa zilizokarabatiwa na Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Ruangwa Mkoani Lindi. Januari 6.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la  Ruangwa akifafanuliwa jambo na Meneja wa Kituo cha Radio Jamii Wilaya ya Ruangwa,Sudi Jongo,  wakati alipozindua kituo hicho kilichokarabatiwa na Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Ruangwa Mkoani Lindi. Januari 6.2024. Kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya wakibadilishana mkataba na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Justina Mashiba baada ya kuzindua Kituo cha Radio Jamii Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. Januari 6.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni