Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa katika Jimbo lake la Ruangwa

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa akizungumza na Mwenyekiti wa kijiji cha Juhudi B, Jafari Mnaheka, katika kata ya Chinongwe, Ruangwa Mkoani Lindi.  Desemba 29.2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la  Ruangwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Litama katika kata ya Chinongwe, Ruangwa Mkoani Lindi. , Desemba 29.2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la  Ruangwa akizungumza na wananchi waliokuja kupata huduma kwenye Zahanati ya Chinongwe, Ruangwa Mkoani Lindi. , Desemba 29.2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la  Ruangwa akikagua miundombinu kwenye Zahanati ya Chinongwe, Ruangwa Mkoani Lindi. , Desemba 29.2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la  Ruangwa akiangalia kichomea taka kwenye Zahanati ya Chinongwe, Ruangwa Mkoani Lindi. , Desemba 29.2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni