Picha Bora ya Mwaka 2023

 


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Theopista Mallya akinong’onezwa jambo na mtoto Ivanka Nzunda mara baada ya elimu ya madhara ya ukatili wa kijinsia na  kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Haloli Oktoba, 17, 2023. (Picha na Ombeni Mlagha).

Maoni ya Wakili Msomi Aloyce Komba picha hii inaonyesha na kutufundisha:-

- Haki ya mtoto kusikilizwa kwa faragha.

- Haki ya mtoto ya ulinzi na usalama wake.

- Haki ya mtoto ya kutoa taarifa.

Chapisha Maoni

0 Maoni