Waziri Mkuu atembelea kambi ya muda ya waathirika wa mafuriko ya Katesh

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya wananchi wa Katesh wilayani Hananga waliopo kwenye kambi ya muda ya watu waliopoteza nyumba zao katika mafuriko yaliyotokea Katesh mkoani Manyara.   Aliitembelea kambi hiyo, Disemba 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mzee Martin Daniel (wapili Kushoto) na Khalid Salehe (kushoto) wakati alipotembelea kambi ya muda ya wananchi walioathirika kwa mafuriko yaliyotokea Katesh wilayani Hanang, iliyopo kwenye Shule ya Sekondari Katesh Mkoani Manyara, Disemba 5, 2023. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni