Tahadhari ya WHO kuhusu pombe msimu wa Sikukuu

 

Watu wengi hunywa pombe, hususan msimu huu wa Sikukuu, Ingawa unywaji wa pombe si salama kabisa, hizi hapa ni baadhi ya mbinu za kuwa salama:

• Changu kinywaji kisicho na kileo kama juisi, maji ama mocktail 🧉

• Kunywa maji mengi ili usipungukiwe na maji mwilini 💧

  Usiache hovyo kinywaji bila uangalizi

  Daima panga safari yako na usiendeshe gari ukiwa umelewa 🚘

• Jisikilize nafsi yako- daima unaweza kusema hapana 👂🏽

Chapisha Maoni

0 Maoni