Mkutano wa Umoja wa Kampuni Changa Tanzania wafana

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) wakati akizungumza katika Mkutano wa Pili wa mwaka wa Umoja wa Kampuni Changa Tanzania uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, Tarehe 18 Desemba, 2023. Mkutano huo ulikuwa na kauli mbiu ya "Uanzishwaji wa Sera na Sheria  ya Kampuni Changa nchini".

Matukio mbalimbali katika picha ya Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) katika Mkutano wa Pili wa mwaka wa Umoja wa Kampuni Changa Tanzania uliofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, Tarehe 18 Desemba, 2023.

Baadhi ya washiriki kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari katika Mkutano wa Pili wa mwaka wa Umoja wa Kampuni Changa Tanzania uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, Tarehe 18 Desemba, 2023.

Chapisha Maoni

0 Maoni