Mbowe awatembelea waathirika wa maporomoko Hanang

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe pamoja na viongozi wa Kanda ya Kaskazini wamewatembelea waathirika wa tukio la maporomoko waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Manyara na kutoa pole kwa familia zilizokumbwa na janga hilo.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akiwa na viongozi wa Kanda ya Kaskazini akisaini kitabu cha wageni katika hospitali ya Mkoa wa Manyara, walipotembelea waathirika wa maporomoko waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Manyara na kutoa pole kwa familia zilizokumbwa na janga hilo.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe pamoja na viongozi wa Kanda ya Kaskazini wamewatembelea waathirika wa tukio la maporomoko waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Manyara na kutoa pole kwa familia zilizokumbwa na janga hilo.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe pamoja na viongozi wa Kanda ya Kaskazini wamewatembelea waathirika wa tukio la maporomoko waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Manyara na kutoa pole kwa familia zilizokumbwa na janga hilo.

Chapisha Maoni

0 Maoni