Waziri Mkuu Majaliwa azungumza na viongozi wa Mkoa wa Songwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi na Wakuu wa Idara na Taasisi katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Novemba 25, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi na Wakuu wa Idara na Taasisi katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Novemba 25, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Baadhi ya viongozi wa mkoa wa Songwe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Novemba 25, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni