Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akimjulia hali Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Lindi, Tecla Ungele anayepata
matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma, Novemba 21, 2023. Katikati
ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Ibenzi Ernest na kulia ni Afisa
Muuguzi wa Hospitali hiyo Stanles Mahundo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Maoni