Rais Samia ahutubia Mkutano wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.

Wasanii wa Kikundi cha ngoma za Utamaduni wa asili ya Rwanda wakitumbuiza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.

Mwenyekiti wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) Arnold Donald akicheza kwa madaha ngoma za asili ya Rwanda wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza hilo unaofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.



Chapisha Maoni

0 Maoni