Rais Dkt. Samia awaandalia chakula kuwapongeza Karume Boys

 




Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) wakiwa kwenye hafla ya Chakula cha mchana walichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 25 Novemba, 2023.


Wachezaji wa Timu ya Karume Boys wakicheza muziki wa Taarabu wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 25 Novemba, 2023.

Chapisha Maoni

0 Maoni