China kutumia bilioni 25 kuboresha Jiopaki Ngorongoro-Lengai

 

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesaini mkataba wa makubuliano ya awali kati yake na ujumbe kutoka Nchini China wenye lengo la kutekeleza mradi wa kuboresha uendelezaji wa Jiopaki ya Ngorongoro– Lengai

Utekelezaji wa mradi huo unatarajiwa kuanza mwanzoni mwa mwaka 2024 na utafanyika kwa kipindi cha miaka miwili kwa gharama ya shilingi bilioni 25 ambazo zitatolewa na Serikali ya China.



Chapisha Maoni

0 Maoni