Rais Samia ashiriki Misa Maalum ya kumuombea Baba wa Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu wakati wa Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023.

Matukio mbalimbali katika Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023.

Misa Maalum ya Kumbukizi ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023.

Chapisha Maoni

0 Maoni