Rais Dk. Samia ashiriki dhifa ya Kitaifa katika Ikulu ya India

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu kabla ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa katika Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) iliyopo New Delhi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu katika Ikulu ya India.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu kabla ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa katika Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) iliyopo New Delhi.

Chapisha Maoni

0 Maoni