Rais Samia azindua Kituo cha Afya cha Mama na Mtoto Kizimkazi

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Kituo cha Afya cha mama na mtoto Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023 katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Kituo cha Afya cha mama na mtoto Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023 mara baada ya kukizindua katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuzindua Kituo cha Afya cha mama na mtoto Kizimkazi Dimbani katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui kabla ya kukabidhi gari la Wagonjwa kwa ajili ya Kituo cha Afya Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023.

Wananchi wa Kizimkazi wakiwa nje ya Kituo cha Afya Kizimkazi Dimbani katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia wasanii wa ngoma ya asili ya Zanzibar (Kibati), wakitumbuiza wakati wa Sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi viwanja vya kufurahisha Watoto Kizimkazi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi tarehe 29 Agosti, 2023 Mkoa wa Kusini Unguja.

Chapisha Maoni

0 Maoni