Moto waunguza jengo na kuua wahamiaji 73 Jijini Johannersburg

 

Watu zaidi ya 70 ambao ni wahamiaji wamekufa moto Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini, baada ya jengo wanaloishi kuungua moto.

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameongelea kwa mara ya kwanza tukio hilo la moto Johannesburg, na kuliita kuwa ni “janga kubwa”.

Jengo hilo linalomilikiwa na Jiji, limekuwa wakiishi wahamiaji haramu kwa mtindo ambao unaitwa kuteka nyara, kwa lugha za nchi hiyo.

Chapisha Maoni

0 Maoni