Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Rais Vladimir Putin wa Urusi

 

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Waziri Mkuu yupo Urusi kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi, kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa na mkewe Mary majaliwa wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Waziri Mkuu yupo Urusi kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi, kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chapisha Maoni

0 Maoni