Tambo za Ahmed Ally na kibegi cha jezi za Simba kinacho-trend

 

Nchi nzima inataka kujua kwenye kibegi kuna nini hii ni ishara kuwa watu hawapo interested kabisa na Bonanza la Gongowazi.

Nikisema kitu naweza kuonekana Mjinga ila Simba kupitia brand wamelifanya Begi la Jezi za 2023/24 kuwa maarufu zaidi kuliko Number 06 wa Yanga.

Watu wanaondoka kwa haraka sana kuifuatilia NAMBA 06, ila SIMBA imewarudisha sana Watu kuifuatilia Begi la Jezi za 2023/24, Simba hawana haraka kwakuwa wanajua wapi wapitie, NGUVU YA BRAND!

FOOTBALL VS BRAND! Hii trend Simba wamekuja kugusa Kila sehemu🔴!

VISIT TANZANIA 🇹🇿

#Kibegi 🔴

Chapisha Maoni

0 Maoni