Nyota mpiga kinubi kuvunja rekodi ya kupiga kinubi Mlima Kilimanjaro

 

Mwanamuziki Nyota mwenye rekodi za Guinness Record Siobhan Brady amepokelewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kwenda kuvunja rekodi ya kupiga Kinubi kikubwa zaidi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Mwanamuziki Nyota mwenye rekodi za Guinness Record Siobhan, akicheza ngoma za asili baada ya kuwasili na kupokelewa katika Uwanja wa Nddege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tayari kuanza kwenda kuvunja rekodi ya kupiga kinubi kilele cah Mlima Kilimanjaro. 

Mwanamuziki Nyota mwenye rekodi za Guinness Record Siobhan, akiwa amepozi kwa picha baada ya kuwasili na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tayari kuanza kwenda kuvunja rekodi ya kupiga kinubi kilele cah Mlima Kilimanjaro.

Chapisha Maoni

0 Maoni