Rais Samia ampokea Ikulu mgeni wake Rais wa Hungary, Katalin Novak

 

Rais wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Hungary Katalin Novak alipowasili Ikulu leo Julai 18,2023, Dar es Salaam. Rais Novak aliwasili nchi jana Julai 17, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku tatu nchini.

 

Rais wa Jamhuri ya Hungary Katalin Novak akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan leo Ikulu  Dar es Salaam.

Chapisha Maoni

0 Maoni