Polisi Kenya yawatimua ndugu wa mbunge aliyekamatwa

 

Polisi nchini Kenya wamewatimua ndugu na marafiki wa mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino, waliovamia kituo cha polisi cha Wang'uru huko Kirinyaga kushinikiza aachiwe.

Familia yake inasema mbunge huyo anashikiliwa kwenye kituo hicho cha polisi, tangu akamatwe hapo jana.

Mbunge Owino alikamatwa jana asubuhi baada ya kutua na ndege kwenye uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, siku ya kwanza ya maandamano ya Azimio.

Chapisha Maoni

0 Maoni