USM Alger mabingwa wapya CAFCC


USM Alger wanatawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.(CAFCC) baada ya ushindi wa faida ya  magoli ya ugenini kwa jumla ya  maboa  2-2, katika fainali ya pili.

 Katika mechi ya fainali mzunguko wa pili iliyopigwa nchini Algeria, Yanga walipata goli lililofungwa Dk 7 kwa mkwaju wa penati uliingizwa kambani na Beki Djuma Shaban ameiandikia Yanga bao la mapema kwa mkwaju wa penalti baada ya Kennedy Musonda kuchezewa madhambi eneo la hatari la USM Alger.


Kipute hicho kimechezwa katika uwanja wa Julai 5 huko Algeria 



Yanga Sc ilichapwa  goli 2- 1 katika mzunguko wa kwanza fainal za CAFCC mechi iliyopigwa dimba la Mkapa jijiji Dar es Salaam goli la ugenini likiwapa USM Alger ushindi na kutawazwa kuwa mabingwa.

Chapisha Maoni

0 Maoni