Bukayo Saka aipeleka Uingereza Euro 2024

 

Uingereza imefuzu kutinga michuano ya Euro 2024, kwa kupata ushindi mnono wa magoli 7-0 dhidi ya North Macedonia.

Kijana wa Arsenal Bukayo Saka (21) alikuwa mwiba katika mchezo huo baada ya kufunga hat-trick na Kane kutupia magoli mawili.

Kwa matokeo hayo Uingereza inayonolewa na kocha Gareth Southgate, imefanikiwa kushinda kwa asilimia 100 katika kufuzo Euro 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni