YANGA yatinga fainali kuumana na Azam

Yanga wametinga fainali ya ASFC  baada ya kuichapa Singida Big Stars goli 1 -0

Yanga ambaye ni bingwa mtetezi wa kombe hilo ataumana na Azam FC katika fainali itakayopigwa uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.



Goli la Yanga yamewekwa kimiani Fiston Mayele katika kipute kilichosukumwa katika uwanja Lit mkoani Singida.


Azam ndiye aliyekuwa wa kwanza kutinga katika fainali hizo baada ya kuichapa Simba kwa goli 2-1

Chapisha Maoni

0 Maoni