Yanga yanusa ubingwa 2022/23

 

Klabu ya Yanga SC inazidi kuukaribia ubingwa baada ya kumaliza mechi ya raundi ya 27 kwa kuwachakaza Singida Big Stars goli 2 kwa nunge.


Yanga wamejinyakulia alama tatu na sasa umefikisha alama 71 ikihitaji alama tatu pekee itangazwe bibgwa wa Ligi kuu kwa msimu wa 2022/23.


Magoli ya Yanga yaliwekwa kimiani na Stephane AzizK dk 15 na Minze dk 20 mechi iliyochezwa katika dimba la CCM Liti mkoani Singida.


Chapisha Maoni

0 Maoni