Ujumbe wa Katibu Mkuu Guterres siku ya uhuru wa vyombo vya habari

 

Katibu Mkuu Umoja wa mataifa Antonio Guterres amesema Uhuru wetu wote unategemea uhuru wa vyombo vya habari.


Guterres ameandika katika ukurasa wake kwenye mtandao wa twita na kuongeza kuwa katika kila kona ya dunia, uhuru wa vyombo vya habari unashambuliwa.



Katika maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari dunia na kila siku, ulimwengu lazima usimame na wanahabari wanaposimamia ukweli.

Chapisha Maoni

0 Maoni