Tanzania yaomba kuwa mwenyeji wa AFCON 2027


Rais Samia Suluhu Hassan, akipokea Fulana iliyokabidhiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo Mhe. Balozi Pindi Chana, wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Fulana iliyokabidhiwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma, wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda

Chapisha Maoni

0 Maoni