Rais Samia amteua Chalamila kuwa Rc Dar es Salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya wakuu wa mikoa kama ifuatavyo

Amhamisha Albert John Chalamila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kagera kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.


Amosi Makalla amekuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza akitokea Dar es Salaam.

Adam Kigoma Malima kuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro akitokea Mwanza na Fatma Mwassa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera akitokea Morogoro



Chapisha Maoni

0 Maoni