Prince Harry ahudhuria sherehe za kusimikwa baba yake, Rais Samia atuma pongezi




Mwanamfalme Harry amejiunga na wanafamilia wenzake wa kifalme katika kuhudhuria sherehe za kusimikwa rasmi kuwa mfalme baba yake Charles III zinazoendelea hii leo.

Mwanamfalme Harry alionekana mwenye utulivu akiwasili huko Abbey akiongea na binamu zake wanawafalme Beatrice na Eugenie.

Hii ni mara ya kwanza Harry kuonana na familia yake tangu atoe kitabu chake chenye utata kinachoelezea mambo yake na familia kiitwacho, Spare, came out.

Harry amewasili London Ijumaa, lakini inaripotiwa atarejea Marekani baada tu ya kumalizika kwa sherehe za kuwahi kushiriki siku ya kuzaliwa mwanae wa kiume.

Mwanae Archie amebakia Jijini Los Angeles akiwa na mama yake Duchess of Sussex, ambapo ndipo itafanyika sherehe ya kuzaliwa ya mwaka wanne wa mtoto wao.

Rais Samia Suluhu Hassan atuma salamu za pongezi kupitia ukurasa wake katika mtandao wa twita aliandika




Chapisha Maoni

0 Maoni