Manchester City washindwe wao wenyewe nyumbani Etihad

 


Jack Grealish amesema Manchester City inajihisi “haizuiliki” wakiikaribisha timu ya Real Madrid katika mchezo wa wa pili wa nusu fainali ya UEFA siku ya jumatano.

Jitihada zake binafsi Kevin de Bruyne katika kipindi cha pili zilisaidia kusawazisha goli la kwanza la Vinicius Jr, na kufanya matokeo kuwa 1-1 katika ndimba la Bernabeu, jana.


Katika mchezo huo kulikuwa na shughuli nzito kati ya Vinicius Jr dhidi ya Kyle Walker, lakini nani ataibuka mbabe katika dimba la Etihad jumatano?




Chapisha Maoni

0 Maoni