Yanga yatinga nusu fainali kukutana na wababe wa Pyramids ya Misri


 Klabu ya soka ya Yanga SC imetinga hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 2-0 dhidi ya miamba ya Nigeria, Rivers United.

Yanga SC itachuana na miamba ya Afrika Kusini, Marumo Gallants kwenye hatua hiyo.


Klabu ya Marumo Gallants ya  Afrika Kusini imetinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kufuatia ushindi jumla wa 2-1 baada ya kuwatoa Pyramids ya Misri.


Mechi ya nusu fainai kati ya Yanga na Marumo itachezwa May 10 na marudiano ni may 17


Chapisha Maoni

0 Maoni