Dobi wa Dk Mpango afariki mwili wake wasafirishwa kwa ndege


 Makamu wa Rais Dk Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wamesindikiza  mwili wa aliyekuwa Dobi Ofisi ya Makamu wa Rais Marehemu Jackson Mwakyelu


Baada ya kusindikiza mwili huo uliosafirishwa kwa ndege kwenda Mbeya kwaajili ya maziko Dk Mpango amesema kila aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi kwahiyo na sisi kila mmoja atamrudia muumba wake kwa njia tofauti tofauti.

TAZAMA VIDEO


Ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Mbande iliuwa watu wawil akiwemo marehemu Mwakyelu na mpishi wa Makamu wa Rais aliyefahamika kwa jina Emanuel Majanja 

Chapisha Maoni

0 Maoni