TANZIA! Wakili maarufu Nimrod Mkono afariki dunia


Aliyewahi kuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Jimbo la Butiama kuanzia 2000- 2020 kupitia CCM Wakili Maarufu nchini Nimrod Mkono Amefariki Dunia Nchini Marekani.


Mdogo wa Marehemu Zadock Mkono amesema kwamba Marehemu Mkono amefariki asubuhi ya Leo Nchini Marekani na aliondoka Nchini Tanzania Tangu Mwaka 2018 kwenda kutibiwa Nchini Marekani.

Chapisha Maoni

0 Maoni