RAIS SAMIA ASWALI EID AL FITR KINONDONI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.

TAZAMA VIDEO


Chapisha Maoni

0 Maoni