RAIS SAMIA ATUMA UJUMBE SIKUKUU YA EID AL FITR

 

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametuma ujumbe wa heri kwa waislam wote wanaosheherekea sikukuu ya Eid Al Fitr


Katika ukurasa wake katika mtandao wa twitta Rais Samia iliandika 


“Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr. Kuandama kwa mwezi ni hitimisho la funga yetu lakini pia ni wakati wa kuendeleza misingi tuliyoishi katika siku hizi 30”

Rais  Samia pia alisisitiza misingi ya kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka, shukrani na ibada kwa Mwenyezi Mungu. 

Chapisha Maoni

0 Maoni