SIMBA YAINYUKA WYDAD KIMOKO KWA MKAPA


 Klabu ya soka ya Wekundu wa msimbazi Simba SC imeingiza mguu mmoja kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwafunga Mabingwa watetezi, Wydad Casablanca kuelekea mchezo wa marudiano.


Wydad Casablanca ambao ni Mabingwa watetezi  wa Ligi ya Mabingwa Afrika, wamepoteza dhidi ya Simba  katika dimba la Benjamin Mkapa.




Bao la Simba liliwekwa kimiani na mchezaji Mkongoman John Baleke katika kipindi cha kwanza bao lililodumu hadi dk ya 90 ya mchezo.

Chapisha Maoni

0 Maoni