Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Possi Azungumza na Mawakili Vijana

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na viongozi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) (hawapo pichani) walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) ndugu Emmanuel Ukashu (wakwanza kulia) akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) alipomtembelea Ofisi kwake jijini Dar es Salaam. 

Viongozi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) na baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi wakati wa kikao cha viongozi hao kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. 

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi mkoba wenye nyaraka mbalimbali za Ofisi yake Mwenyeketi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) ndugu Emmanuel Ukashu kuhusu Ofisi hiyo alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. 

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Chapisha Maoni

0 Maoni