Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde leo tarehe 24 Februari, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mheshimiwa Fahad Rashid Al Marekhi katika ofisi ndogo za Wizara ya Madini jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo yao yamejikita katika kumarisha ushirikiano kwenye sekta ya madini hususan katika uongezaji thamani wa madini nchini na kuvutia uwekezaji kwenye sekta ya madini nchini kupitia Kampuni mbalimbali zilizopo nchini Qatar.



0 Maoni