Rais Mwinyi arejesha ZEC fomu za uteuzi kuwania urais

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mhe. Jaji George J. Kazi akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa Mgombea Kiti cha Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt.Hussein Mwinyi katika hafla ya urejeshaji wa fomu ya Uteuzi Ugombea Kiti cha Urais 2025 , iliyofanyika leo katika makao makuu ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyopo Maisara Wilaya ya Mjini,Unguja.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Thabit I. Faina akitoa maelezo ya Ujazaji wa Fomu ya Uteuzi kwa Mgombea Kiti cha Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt.Hussein Mwinyi katika hafla ya urejeshaji wa fomu ya Uteuzi Ugombea Kiti cha Urais 2025 , iliyofanyika leo katika makao makuu ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyopo Maisara Wilaya ya Mjini,Unguja.

Chapisha Maoni

0 Maoni