Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi akiagana na Viongozi wa Chama na
Serikali katika Uwanja wa Ndege mjini
Bukoba,mara baada ya kumaliza mikutano yake ya Kampeni ndani ya mkoa wa Kagera
leo Jumatatu Septemba 8,2025.
Dk. Nchimbi anaelekea mkoani Rukwa kuendelea na mikutano yake ya kampeni ya kutafuta kura za kishindo kwa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,2025.
0 Maoni