Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia afanya kampeni Unguja

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Makunduchi, katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgombea ubunge wa Jimbo la Makunduchi, Wanu Hafidh Ameir, katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mariam Mwinyi (wa kwanza kulia) katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025.


Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni