Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Bahi mkoani Dodoma tarehe 09 Septemba, 2025.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wa Bahi mkoani Dodoma tarehe 09 Septemba, 2025, wakati Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Kenani Kihongosi akitoa maelezo kwa wananchi.
Umati wa wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Bahi mkoani Dodoma tarehe 09 Septemba, 2025.

0 Maoni