Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai amefariki
dunia leo Jijini Dodoma.
Taarifa za kifo chake zimetangazwa na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson na
kutoa polea kwa familia ya marehemu.
Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya
marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
0 Maoni