Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwanzilishi
na Mwenyekiti wa Airtel Bw. Sunil Bharti Mittal aliyeambatana na ujumbe wake
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Agosti, 2025. Kikao hicho pia
kilihudhuriwa na uongozi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia.

Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Airtel Bw. Sunil Bharti Mittal, Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 13 Agosti, 2025.

0 Maoni