Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zilizoanza kutumika kuanzia Jumanne ya tarehe 1 Julai 2025 saa 6:01 usiku sawia na Sheria ya Fedha ya Mwaka 2025 ambayo itaanza kutumika kuanzia tarehe 1 Julai 2025.


Kwa taarifa zadi ya bei za mafuta zilizotangazwa na EWURA bofya link hii hapa chini:- 

https://www.ewura.go.tz/uploads/documents/sw-1751343681-Cap%20Prices%20for%20July%20%202025%20-%20Kiswahili.pdf