Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya
kuwasili Mtumba kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya
mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (Dodoma outer ring road) yenye urefu wa km
(112.3) Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi
Mhe. Abdallah Ulega kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje
ya Jiji la Dodoma(Dodoma outer ring road) yenye urefu wa km (112.3)katika eneo
la Mtumba Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana Rais mstaafu wa
Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete maraa baada ya Kuwasili kugagua
maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma(Dodoma
outer ring road) yenye urefu wa km (112.3)katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma
tarehe 14 Juni, 2025.
Muonekano wa Barabara
ya Mzunguko ya Dodoma (Dodoma outer ring road) yenye urefu wa km (112.3) Jijini
Dodoma tarehe 14 Juni, 2025.
0 Maoni