Neema bei ya mafuta ya Petroli na Dizeli zikipungua Juni

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 4 Juni 2025 kuanzia saa 6:01 usiku wa kuamkia leo, ambapo bei ya petroli na dizeli zimeshuka ikilinganishwa na mwezi Mei.

Taarifa iliyotolewa na EWURA imesema katika bei kikomo kwa Juni 2025, bei za mafuta katika soko la dunia zimepungua kwa asilimia 0.9 ya kwa mafuta ya petroli, asilimia, 3.4 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 3.7 kwa mafuta ya taa mtawalia.


Kwa taarifa kamilia ya EWURA bofya linki hii hapa chini:-

https://www.ewura.go.tz/uploads/documents/sw-1748984410-Bei%20Kikomo%20za%20bidhaa%20za%20Mafuta%20ya%20Petroli%20kuanzia%20Jumatano%204%202025.pdf

Chapisha Maoni

0 Maoni