Rais Samia aongoza hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards 2025

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi, Wadau wa habari pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards 2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam jana tarehe 05 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa Mwandishi wa Habari Mbobevu Ndugu Tido Mhando kwenye hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards 2025 zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam Mwandishi wa Habari Mahiri jana tarehe 05 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards 2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam jana tarehe 05 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwanasiasa mkongwe Mama Getrude Mongella katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards 2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam jana tarehe 05 Mei, 2025.

Baadhi ya mawaziri wakiwa na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson wakiwa miongoni mwa wageni katika katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards 2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam jana tarehe 05 Mei, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni