Ndege iliyobeba mwili wa Hayati Msuya yatua KIA

 

Ndege iliyobeba mwili wa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (Mstaafu), Hayati Cleopa David Msuya, ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) majira ya saa 2:22 leo Mei 12, 2025.



Chapisha Maoni

0 Maoni