Majaliwa kumwakilisha Rais Samia Mkutano wa Maafisa Watendaji Wakuu barani Afrika

 

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewasili nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan.

Mheshimiwa Majaliwa amepokelewa katika uwanja wa ndege wa Félix-Houphouët-Boigny Jijini Abidjan na Waziri Mkuu wa Ivory Coast  Robert Beugre Mambe.



Chapisha Maoni

0 Maoni